Toa kweney tovuti Bibilia ile njema kabisa la wakenya kwa simu yako.

Karibu kwa program hii mpya ya Bibilia ambayo inakupee nafasi ya kutoa kwenye tovuti, Bibilia takatifu kwenye simu ama kibao(tablet) yako. Furahia aina hii mpya ya Bibilia ya Kiswahili, ambayo imetengenzwa hasa ju ya wakenya. Na ni bure kabisa!

Leta urembo na ukweli wa maandiko kwenye Maisha yetu. Na programu ya Bibilia ya Kenya, unaweza soma, tazama,soma, na ugawe kwenye simu yako ama kibao ile Bibilia ambayo imeandikwa vyema kabisa kwa Kiswahili. Zaidi ya yote ni yakuwa unaweza tumia kwenye tovuti ama nje ya tovuti. Mara programu iko kwa kifaa yako, uko na uwezo wa kusoma Bibilia bila kuwa umeunganishwa kwa mtandao.

Wengi wa wakenya ni wakristo, ikikaribia asilimia 50 ya waprotestanti. Zile madhehebu kubwa Kenya protestanti, ikiwamo, kanisa la Anglican la Kenya, presbyterain,reformed,Methodist, Baptist,Lutheran,na kanisa za kipentecostal.

Hisi neno la kupeana Maisha la mungu,soma, na uishi na Bibilia kila asubuhi kwenye simu yako ama kibao.

Na programu hii rahisi kutumia unaweza soma Bibilia kila siku.
Gawa Bibilia takatifu na marafiki wako na familia, program hii inaweza hamasisha wengine kusoma jina la Mungu na waamini Yesu!

Vipengele
-ukubwa wa fonti: kirekebeshi cha fonti kurekebisha ukubwa wa fonti.
-programu ambayo haitumii mtandao:inaweza someka wakati ambao hauja unagishwa na wifi
-orodha nzima ya vitabu zote za Bibilia
-muundo unaovutia na uko na rangi ya kupendeza.
-Zinaweza tumiwa na simu zote na vibao vya kiandroidi.

Programu hii iko na Bibilia yote mzima ya Kiswahili, imeundwa na vitabu 66 na imegawanyishwa kwenye Agano Mpya na Agano Mzee

Agano mzee iko na vitabu 39: (Mwanzo, Kutoka, Mambo ya Walawi, Hesabu, Kumbukumbu la Torati, Yoshua, Waamuzi, Ruthu, 1 Samweli, 2 Samweli, 1 Wafalme, 2 Wafalme, 1 Mambo ya Nyakati, 2 Mambo ya Nyakati, Ezra, Nehemia, Esta, Ayubu, Zaburi, Mithali, Mhubiri, Wimbo Ulio Bora, Isaya, Yeremia, Maombolezo, Ezekieli, Danieli, Hosea, Yoeli, Amosi, Obadia, Yona, Mika, Nahumu, Habakuki, Sefania, Hagai, Zekaria, Malaki)

Agano mpya iko na vitabu 27: (Mathayo, Marko, Luka, Yohana, Matendo ya Mitume, Warumi, 1 Wakorintho, 2 Wakorintho, Wagalatia, Waefeso, Wafilipi, Wakolosai, 1 Wathesalonike, 1 Wathesalonike, 1 Timotheo, 2 Timotheo, Tito, Filemoni, Waebrania, Yakobo, 1 Petro, 2 Petro, 1 Yohana, 2 Yohana, 3 Yohana, Yuda, Ufunuo Wa Yohana)

Bibilia ya Kenya – Apps en Google Play